9 Nov 2025 7:29 pm | Citizen TV 1,432 views Duration: 1:23 RAIS William Ruto ameendelea kuelezea imani yake kuwa Kenya itafikia viwango vya mataifa yaliyoendelea kiuchumi na yenye uwezo wa kujisimamia yenyewe ulimwenguni.