Rais Ruto aamua kuingia mkataba wa maelewano katika uendeshaji wa nchi na Raila Odinga

  • | K24 Video
    812 views

    Licha ya msimamo wa awali , Rais William Ruto ameamua kuingia mkataba wa maelewano katika uendeshaji wa nchi na kiongozi wa ODM Raila Odinga, kwa mtazamo wa wawili hao na vyama vyao vya uda na odm, mkataba huo utasaidia kuliunganisha taifa.