Rais Ruto aendelea kuzuru Nairobi kwa siku ya tatu

  • | Citizen TV
    4,001 views

    Rais William Ruto anaendeleza ziara yake katika kaunti ya Nairobi kwa siku ya tatu hii leo kwa kuzuru mitaa tofauti na kukagua na kuzindua miradi mbali mbali