Rais Ruto ahudhuria hafla ya uapisho ya rais wa Ghana

  • | KBC Video
    53 views

    Rais John Dramani Mahama amechukua hatamu za uongozi rasmi akiwa rais wa Ghana, na kuashiria kurejea kwake katika urais baada ya hapo awali kuhudumu kuanzia mwaka 2012 hadi mwaka 2017. Rais Mahama aliapishwa Jumanne katika hafla iliyofanyika katika uga wa Black Star mjini Accra. Rais William Ruto ni miongoni mwa marais 21 waliohudhuria hafla ya kuapishwa kwake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive