Rais Ruto akosoa utumizi vibaya wa mitandao, aahidi uchunguzi kwa maafisa wa polisi

  • | NTV Video
    2,071 views

    Rais William Ruto amekosoa vikali utumizi vibaya wa mitandao ya jamii. Kwenye ujumbe wake wa mwaka mpya, rais amesema baadhi ya wakenya wamekiuka haki zao za kimsingi na kutumia vibaya mitandao huku akikubali kuwa baadhi ya maafisa wa polisi wametumia nguvu kupita kiasi na kuwa wanachunguzwa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya