- 13,824 viewsDuration: 2:50Rais William ruto amefichua mazungumzo yake ya faragha na mwenyekiti wa chama cha KANU Gideon Moi, akisema alimtafuta Gideon ili amsaidie kuunganisha taifa na kuleta mabadiliko. Akizungumza nyumbani kwake Kabarak kaunti ya Nakuru, Gideon Moi kwa upande wake alisema alikubali wito wa Rais Ruto akisema yuko tayari kwa ushirikiano zaidi