Rais Ruto amsifu waziri mteule Kithure Kindiki akisema ni mchapa kazi

  • | Citizen TV
    9,716 views

    Rais William Ruto amempigia debe waziri mteule wa usalama kithure kindiki akisema kuwa ni mchapa kazi na kuwa amesaidia pakubw akuzima wahalifu katika maeneo yan bonde la ufa yanayokabiliwa na wezi wa mifugo, kando na kuzima ugaidi nchini.