Rais Ruto aondoa shilingi 300 ya hitaji la Vitambulisho

  • | TV 47
    111 views

    Rais Ruto aondoa shilingi 300 ya hitaji la Vitambulisho

    Rais William Ruto amelegeza kamba katika masharati aliyoweka ya kuwahitaji vijana kutoa angalau shilingi mia tatu ili wapate vitambulisho. Hatua hii inajiri huku vijana wa Gen Z wakilalamika kuhusu kutozwa fedha za kupewa kitambulisho.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __