Rais Ruto apigia upatu haki za watu walio na Ukimwi

  • | KBC Video
    104 views

    Rais William Ruto amekiri umuhimu wa muungano wa mataifa mbalimbali katika kubuni ushirikiano wa kimataifa wa kukabiliana na UKIMWI. Akiongea wakati wa kikao kuhusu hali ya UKIMWI duniani mjini New York, rais alisema ushirikiano huo umewezesha Kenya kuungana na Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu UKIMWI katika juhudi za kutafuta ufadhili na kulinda haki za watu walio na virusi vya ugonjwa huo mbali na kutoa msaada unaohitajika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive