Rais Ruto asema uchumi umeimarishwa

  • | KBC Video
    1,262 views

    Rais William Ruto amesema kuwa nchi hii imenasuka kutoka kwa changamoto kuu zilizoikumba. Rais amesema kuwa utawala wake sasa utaangazia mabadiliko baada za juhudi za kuleta uthabiti wa kiuchumi kufaulu huku sekta ya kilimo ikinakili mavuno yaliyoimarika. Aliyasema hayo katika bonde la Kerio wakati ya ibada ya shurani ya madhehebu mbalimbali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive