Rais Ruto asitisha mikataba baina ya serikali na kampuni ya Adani

  • | KBC Video
    252 views

    Rais William Ruto ameagiza kufutiliwa mbali kwa mchakato wa ununuzi uliotarajiwa kukabidhi usimamizi wa uwanja wa ndege wa JKIA na kampuni ya usambazaji umeme, KETRACO kwa kampuni kutoka India, Adani. Hatua hii inafuatia kufunguliwa mashtaka kwa mwanzilishi wa kampuni hiyo Gautam Adani nchini Marekani. Awali Waziri wa Kawi Opiyo Wandayi aliambia Kamati ya Kawi katika bunge la seneti kuwa mkataba huo ungeendelea licha ya hatua hiyo ya Marekani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive