Rais Ruto atangaza kufutiliwa mbali kwa ada ya vitambulisho

  • | Citizen TV
    3,638 views

    Rais William Ruto ametangaza kuwa wakenya hawatalipia ada yoyote kupata vitambulisho. Akizungumza katika eneo bunge la Kibra, rais Ruto amesema hatua hiyo itahakikisha kuwa hakuna mkenya amebaguliwa