- 64 viewsDuration: 2:19Rais William Ruto kwa mara nyingine ametetea ujenzi wa kanisa katika ikulu ya Nairobi. Kiongozi wa taifa akizungumza baada ya ibada ya kanisani ikuluni alisema atahakikisha kwamba wahudumu wa ikulu wana nafasi ya kutosha kwa maombi. Mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim anatuarifu zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive