Rais Ruto awakosoa wapinzani wa miradi ya serikali, akitaja mitandao ya kijamii

  • | NTV Video
    1,360 views

    Rais William Ruto leo amewavalia njuga wakenya na wanasiasa wanaopinga miradi na mipango ya serikali yake akiwataja kama wenye chuki na kukosa uzalendo. Ruto alisema hayo huko Taita Taveta ambapo amekuwa Kwa ziara ya maendeleo, akitamaushwa na jinsi ambavyo mitandao ya kijamii inatumika kumkejeli pamoja na serikali yake.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya