Jaji mkuu Martha Kome aapa kuwa hang'atuki kamwe kutoka kwa wadhfa wake

  • | K24 Video
    80 views

    Jaji mkuu Martha Moome ameapa kuwa hang'atuki kamwe kutoka kwa wadhfa wake kama jaji mkuu. Koome anasema katiba inalinda wadhfa wake na hakuna sababu zozote kumng'atua mamalkani. Hii ni licha ya aliyekuwa rais wa chama cha mawakili nchini LSK Nelson kuwasilisha ombi la malalamishi kwa tume ya huduma za mahakama JSC kutaka majaji 7 wa mahakama ya juu kutimuliwa na rais kupitia mapendekezo yao.