Rais Ruto awasuta wakosoaji wake na kukana madai kuwa yeye ni mjanja mpangaji wa siasa

  • | K24 Video
    376 views

    Rais William Ruto amewasuta wakaosoaji wake na kukana madai kuwa yeye ni mjanja mpangaji wa siasa. Ruto amehusisha maombi kwa mafanikio yake serikalini serikalini na kudai kuwa tayari matokeo yako wazi. Aidha rais Ruto alishangaza wengi baada ya kutoa msaada wa shilingi milioni 20 na kuahidi milioni mia moja zaidi licha ya tetesi kuhusu misaada ya fedha zinatolewa kwa makanisa na wanasiasa.