14 Nov 2025 1:42 pm | Citizen TV 662 views Duration: 1:39 Rais William Ruto ameendelea kuwashambulia viongozi wa upinzani anaosema wameshindwa kuwaeleza wakenya mikakati yao mbadala endapo watashinda uchaguzi mkuu ujao na kuunda serikali.