Rais Ruto kuanza ziara yake ya siku tano Mlima Kenya

  • | Citizen TV
    5,729 views

    Rais William Ruto Anatarajiwa Kuanzisha Na Kuzindua Baadhi Ya Miradi Ya Maendeleo Ya Mabilioni Ya Fedha Wiki Hii, Atakapokuwa Kwenye Ziara Yake Ya Siku Tano Katika Eneo La Mlima Kenya.