Rais Ruto kuzindua soko la kisasa katika mtaa wa South B hapa Nairobi

  • | TV 47
    157 views

    Rais Ruto kuzindua soko la kisasa katika mtaa wa South B hapa Nairobi.

    Wafanyibiashara hao wamekuwa wakichuuza bidhaa zao kando ya barabara.

    Soko hilo litaigharimu serikali shilingi milioni mia tatu hamsini.

    Soko ni mojawapo ya masoko kumi na manane yanayotarajiwa kujengwa kaunti ya Nairobi.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __