Rais Ruto Na Moussa Faki Wajadili Siasa Za Mpito AUC Na Mageuzi Katika AU

  • | TV 47
    1,968 views

    Rais Ruto Na Moussa Faki Wajadili Siasa Za Mpito AUC Na Mageuzi Katika AU

    Rais William Ruto leo amefanya kikao na Mwenyekiti Wa Tume Ya Muungano Wa Afrika Moussa Faki nyumbani kwake Kilgoris.

    Kikao hicho ambacho kimejiri wakati wa kampeini ya Aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga kumrithi Faki kinasemekana kujadili mageuzi katika umoja wa afrika na siasa za mpito.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __