Rais Ruto na wabunge zaidi wafika mjini Addis Ababa

  • | Citizen TV
    7,685 views

    Rais William Ruto tayari amewasili mjini Addis Ababa, Ethiopia siku moja kabla ya uchaguzi wa mwenyekiti wa tume ya muungano wa umoja wa afrika auc, umamosi. Mgombea wa Kenya Raila Odinga anatarajiwa kutoana kijasho na wagombea wengine wawili kwenye uchaguzi huo