Rais Ruto: Serikali iko tayari kupambana na Al-Shabaab

  • | NTV Video
    1,498 views

    Rais William Ruto amesema serikali yake iko tayari kupambana na magaidi ikiwemo wa Alshabaab ambao wameonekana kutishia na kuzihangaisha jamii za Kaskazini Mashariki mwa Kenya haswa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

    shabaab