Rais wa Brazil, Luiz Inacio Lula da Silva amempokea Rais Joe Biden alipowasili katika jumba la makumbusho la Modern Art Museum mjini Rio de Janeiro kuhudhuria Mkutano wa G20 Jumatatu (Novemba 18).
Mazungumzo ya Viongozi wa G20 kuhusu biashara, mabadiliko ya hali ya hewa na usalama wa kimataifa yatafanyika huku kukiwa na mabadiliko makubwa ya sera za Marekani ambayo Trump ameapa kuyatekeleza atakapoingia White House Januari, kuanzia ushuru hadi ahadi ya mashauriano ya kupata suluhu ya vita vya Ukraine.
#rais #brazil #luladasilva #joebiden #makumbusho #riodejaneiro #g20 #viongozi #marekani
22 Dec 2024
- Pakistan's Foreign Ministry on Saturday dismissed as unfounded and "devoid of rationality" assertions by a senior U.S. official that its missile program could eventually pose a threat to the United States.
22 Dec 2024
- Two Chinese astronauts this week completed a world-record spacewalk of more than nine hours, according to a statement from China's Manned Space Agency, marking another milestone for Beijing's rapidly expanding space program.
22 Dec 2024
- The explosive story of how Nigeria’s most feared finance minister brought oil barons to their knees, demolished Nigeria's $11.2b corruption machine.