Skip to main content
Skip to main content

Rais wa Malawi Lazarus Chakwera akubali kushindwa uchaguzi

  • | BBC Swahili
    15,024 views
    Duration: 47s
    Baadhi ya raia nchini Malawi wamejitokeza barabarani kusherehekea baada ya Rais wa Malawi Lazarus Chakwera kukubali kushindwa dhidi ya Rais wa zamani Peter Mutharika katika uchaguzi mkuu. Chakwera ameliambia taifa hilo kuwa anafanya hivyo kwa kuheshimu nia yao ya kutaka mabadiliko ya serikali, na kwamba amempigia simu Mutharika kumpongeza kwa ushindi wake. @RoncliffeOdit atakuwa na mengi zaidi katika Dira ya Dunia TV leo usiku. Pia tufuatilie kwenye ukurasa wetu wa YouTube BBC News Swahili. #bbcswahili #malawi #uchaguzimalawi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw