Rais wa Shirikisho la Riadha la Ethiopia Tulu amtembelea nyota Girma hospitali

  • | VOA Swahili
    1 views
    Muethiopia anayeshikilia rekodi ya dunia Lamecha Girma alipelekwa hospitali Jumatano (Agosti 7) baada ya kupata ajali mbaya ya kuanguka wakati wa mbio za Olimpiki za wanaume za mita 3,000 za Steeplechase. Kanda ya video hii inaonyesha Rais wa Shirikisho la Riadha la Ethiopia Derartu Tulu na maafisa wengine kadhaa wakimtembelea Girma akiwa hospitali. Girma aliruhusiwa kutoka hospitali siku ya Alhamisi. - Reuters #shirikisho #soka #ethiopia #rais #riadha #nyota #lamechagirma #derartutulu #voa #paris #ufaransa