- 8,216 viewsDuration: 8:06Rais Wiliam Ruto anazuru kaunti ya Makueni hii leo ,hii ikiwa siku ya kwanza ya ziara yake ya siku tatu katika eneo la ukambani. Kando na miradi ya maendeleo anayotarajiwa kuzindua Rais Ruto pia anatarajiwa kutumia ziara hiyo kujitafutia umaarufu wa kisiasa kabla ya uchaguzi wa mwaka wa 2027.