Rais William Ruto aeleza mafanikio ya serikali 2024

  • | Citizen TV
    6,837 views

    Rais William Ruto usiku wa kuamkia Mwaka Mpya aliongoza wakenya kusherehekea mwaka mpya kutoka Ikulu Ndogo ya Kisii. Ruto alitumia fursa hiyo kueleza wakenya hatua zilizopigwa na serikali yake, changamoto na maswala yanayohusu ufanisi wa taifa. Mwanahabari wetu Chrispine Otieno alikuwepo katika Ikulu ndogo ya Kisii na hii hapa taarifa yake...