Rais William Ruto afungua rasmi ofisi Garissa

  • | Citizen TV
    1,589 views

    Rais William Ruto leo amefungua rasmi ofisi ya kutoa pasi za usafiri katika kaunti ya Garissa. Hatua hii ikijiri siku moja baada ya kufutilia mbali msasa kwa wakazi wa maeneo ya mpaka wa kaskazini mashariki ili kupata vitambulisho.