Rais William Ruto Awatakia Wakenya Heri Za Krismasi

  • | TV 47
    156 views

    Rais William Ruto Awatakia Wakenya Heri Za Krismasi

    Kwenye ujumbe wake wa krisimasi kwa wakenya Rais William Ruto amepigia debe juhudi za serikali ya Kenya katika kuimarisha maisha ya wakenya.

    Rais Ruto ametambua juhudi za wakenya na wafanyikazi wa serikali hasa wa wahudumu wa afya nyanjani kwa kuhakikisha kuwa afya inafikia wakenya wa kiwango cha chini.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __