Remmy Kigen aukaribisha mwaka mpya kwa kutembelea makazi ya watoto wasiojiweza Uasin Gishu

  • | NTV Video
    765 views

    Remmy Kigen, mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Paul Boit kaunti ya Uasin Gishu aliukaribisha mwaka mpya kwa kishindo kwa kutembelea makazi ya watoto wasiojiweza na kuwananunulia chakula kutoka kwa pesa za akiba alizokuwa akipewa na wazazi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya