- 583 viewsDuration: 3:02Shirika la kutetea haki za kibinadamu la IMLU sasa linasema wakenya zaidi wameendelea kuuawa kwenye seli za polisi huku visa 17 vikichunguzwa mwaka huu pekee. Ripoti hiyo pia ikisema watu wengine 59 waliuawa na polisi kwenye visa vya utumizi wa nguvu kupita kiasi. Shirika hili sasa linaitaka serikali kueleza ni kwa nini imeendelea kufumbia macho visa hivyo