Ripoti ya mkaguzi wa hesabu yaibua maswali tele kuhusu SHA

  • | Citizen TV
    1,431 views

    Mkaguzi wa hesabu za serikali sasa anaripotiwa kuwa makato ya asilimia 2.5 yanayotolewa na wakenya kupitia bima ya SHA yanatumika kulipia mfumo wa teknolijia kupitia akaunti isiyofahamika. Ripoti hii ya mkaguzi wa serikali Daktari Nancy Gathungu pia ikiarifu kuwa ununuzi wa mfumo huu haukuwa wazi huku fedha hizo zinazokusanywa zikitumika kulipia gharama yake ya shilingi bilioni 104.8