Skip to main content
Skip to main content

Ripoti yaonyesha uhalifu kushuka lakini wizi kuongezeka

  • | Citizen TV
    1,222 views
    Duration: 2:45
    Visa vya uhalifu nchini vimepungua kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka mitano hadi chini ya laki moja. Hata hivyo, takwimu za ripoti ya utekelezaji wa haki nchini zinaonyesha kuwa kesi za mashambulizi, wizi, na dawa za kulevya zimezidi, huku visa vinavyowahusisha maafisa wa polisi kutumia nguvu kupita kiasi na uhalifu pia vikiongezeka. Ripoti hii ikionyesha namna ufisadi katika taasisi za serikali unaendelea kuathiri utoaji wa haki.