Ruto akutana na wazee Mandera akiendelea na ziara

  • | Citizen TV
    1,887 views

    Rais William Ruto sasa anasema atawaonyesha kivumbi wanaotaka kushindana naye katika uchaguzi mkuu wa urais wa mwaka wa 2027, akieleza kwamba tajiriba yake ya takriban miaka 30 kwenye ulingo wa siasa itamsaidia kupata ushindi