Skip to main content
Skip to main content

Ruto amshambulia upinzani akiwa ziara ya Samburu

  • | Citizen TV
    2,312 views
    Duration: 2:37
    Rais William Ruto Kwa mara nyingine tena amekosoa upinzani kupinga serikali yake akiwataja kuwa watu wasio na ajenda. Rais aliyezungumza kwenye ziara yake ya kaunti ya Samburu akiwaahidi wakosoaji wake kivumbi kikali kwenye uchaguzi mkuu ujao.