Ruto : Barabara inapita kwa wa Munyoro nimetengeneza

  • | KBC Video
    109 views

    ZIARA YA RUTO MLIMA KENYA

    Ruto : Nilienda China na nikapata karibu shilingi bilioni 36 ya barabara, nilichukua Bilioni 15 nikawekeza hapa Mlimani. Naskia viongozi wengine wakisema Ruto ni muongo, kuna barabara hapa Gatung'ang'a tulianzisha ile barabara inatoka Marua inapitia hapa kwa Munyoro, mahali mtu anasema ati hakuna kitu nimefanya, barabara ya kupitia kwake nimetengeneza.