7 Nov 2025 1:37 pm | KBC Video 220 views Duration: 1:55 Ruto : Bonyeza *254# ukienda pale kwa 'bridge loan' kwenye hustler fund, unaweza kuchukua mkopo wa hadi Shs 150,000 bila dhamana yaani 'security'. #KBCniYetu