Ruto: Hatujakuja hapa kufanya siasa, tumekuja kupangana mambo ya maendeleo na watu wa Mlima Kenya

  • | KBC Video
    162 views

    ZIARA YA RUTO MLIMA KENYA

    Ruto : Sitarajii kuwa mambo ya wizi itatokea wakati wa ziara yangu Mlima Kenya. Hatujakuja hapa kufanya siasa, tumekuja kupangana mambo ya miradi na maendeleo na watu wa Mlima Kenya.

    #KBCniYetu