7 Nov 2025 12:58 pm | KBC Video 6,608 views Duration: 1:35 Ruto : Deni la hustler fund utalipa pole pole, hakuna kushurutishwa. Kuna watu walichukua Shs.500 na wakahepa, hasara ni kwako kwa sababu sahizi hautapewa elfu 50 za NYOTA.