Ruto : Nilipatia JB Muturi kazi kama mkuu wa sheria, yeye mwenyewe alinielezea hii kazi imemlemea

  • | KBC Video
    2,336 views

    ZIARA YA RUTO MLIMA KENYA

    Ruto : Nilipatia JB Muturi kazi kama mkuu wa sheria, yeye mwenyewe alinielezea hii kazi kidogo inamlemea, kwa muda nikaona kweli kazi imemlemea, nikampatia kazi ya waziri. Akakoma kuja hata mkutano wa baraza la mawaziri, sasa mimi nilimfuta kazi ama yeye alijifuta kazi?