Ruto: Serikali jumuishi itakuza umoja, kuepusha siasa potofu

  • | KBC Video
    526 views

    Rais William Ruto ametetea kubuniwa kwa serikali jumuishi akisisitiza uwezo wake wa kuleta umoja wa wakenya na kuimarisha maendeleo ya kitaifa. Akizungumza katika mazishi ya Seneta wa Baringo marehemu William Cheptumo, Ruto alisisitiza umuhimu wa kuweka kando siasa za migawanyiko ili kuunga mkono juhudi za pamoja za kitaifa. Wito huu wa umoja unajiri siku chache baada ya azma ya Raila Odinga ya kuwania Uenyekiti wa AUC kukosa kufaulu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive