Ruto: Tutakomesha utekaji nyara!

  • | Citizen TV
    3,876 views

    Tutakomesha utekaji nyara, haya ndio maneno ya punde zaidi ya rais william ruto huku shutumu zikiendelea kuhusiana na kupotea kwa vijana kadhaa wanaoonekana kuwa wakosoaji wake. Rais hata hivyo amewataka wazazi kutwaa jukumu kuwalea watoto wao kwa maadili na nidhamu. Rais amezungumza kaunti ya homa bay, siku ambayo shinikizo ziliendelea kutaka kusitishwa kwa visa vya utekaji nyara.