7 Nov 2025 1:53 pm | KBC Video 134 views Duration: 2:46 NYOTA YOUTH EMPOWERMENT Ruto : Kuna wanasiasa wanaambia vijana mjipange mchukue kura ndio mtawapigia, lakini hawawambii hiyo kura mnawapigia wapate uongozi, na nyinyi kama vijana mtasaidika vipi? #KBCniYetu