Safari ya binti anayetafuta mabaki ya baba yake Kenya

  • | BBC Swahili
    741 views
    Wanjugu Kimathi, binti wa kiongozi wa waasi wa Mau Mau, Dedan Kimathi, anatafuta mabaki ya baba yake huku akipigania haki za ardhi kwa wanajeshi waliosahaulika waliokuwa wakipambana dhidi ya ukoloni. - BBC Africa Eye, inaangazia safari binafsi yenye nguvu ambayo inafichua hadithi ya mapambano ya silaha Kenya wakati wa uhuru, na inajumuisha ushahidi wa ukatili uliofanywa na Waingereza wakati wa kupigana na waasi. #bbcswahili #kenya #maumau Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw