Safari ya Daktari bingwa wa kike wa upasuaji Tanzania

  • | BBC Swahili
    351 views
    Safari ya Zaituni kuwa Daktari ilianza alipokuwa na umri wa miaka minne wakati alipovunjika mguu na kuanza kupata hamasa kubwa ya kutamani siku moja na yeye kuwa daktari.