Sakaja: Wafanyakazi wawili wa kaunti wamefutwa

  • | Citizen TV
    2,297 views

    Wafanyakazi wawili wa kaunti ya Nairobi wamefutwa kazi kuhusiana na tukio la kumwaga taka nje ya kampuni ya kusambaza umeme ya Kenya Power. Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja amebainisha haya huku pia polisi wakibainisha kuwa madereva watatu wa kaunti ya Nairobi waliofanya kitendo hicho wamekamatwa.