- 3,779 viewsDuration: 2:17Rais Samia Suluhu: Wote tunaoitakia mema nchi hii, tumesikitishwa na kuhuzunishwa na matukio ya uvunjifu wa amani, upotevu wa maisha na uharibifu wa mali za umma na mali za watu binafsi kwenye baadhi ya maeneo hapa nchini. Kilichotokea hakiendani na taswira na sifa za kitanzania, na sio utanzania. Haikutushangaza kuona kuwa baadhi ya vijana waliokamatwa wametoka nje ya Tanzania. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive