Sanamu la askari: Ishara ya jiji la Dar es Salaam

  • | BBC Swahili
    2,779 views
    Sanamu la Askari lipo katikati ya jiji la Dar es Salaam lakini je umeshawahi kujiuliza lina maana gani? na kwanini liliwekwa hapo? Samy Awami anaelezea #bbcswahili #tanzania #askarimounament Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw