Kanga: Vazi maarufu Afrika Mashariki

  • | BBC Swahili
    1,770 views
    Vazi la Kanga ama Leso ni maarufu sana Afrika Mashariki, hasa katika ukanda wa pwani. Kanga sio tu vazi la kitamaduni, bali pia ni sehemu muhimu ya utamaduni wa Waswahili na Waafrika kwa ujumla. Umaarufu wa kanga ulijulikana hasa katika kufikisha ujumbe, kwani maneno yaliandikwa kwenye kanga yalikuwa yakilenga kufikisha ujumbe kwa adui, rafiki, au ndugu. Hata hivyo, kutokana na kuenea kwa mitandao ya kijamii, kanga imeanza kupoteza umaarufu wake. Video: @Humphreymgonja #bbcswahili #tanzania #zanzibar Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw