Tume ya IEBC yatakiwa kuanza kuhudumu punde baada ya uteuzi

  • | KBC Video
    116 views

    Waangalizi wa uchaguzi na mashirika ya kijamii humu nchini, wanataka mwenyekiti na makamishna sita wa tume ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC, kuanza kazi punde tu baada ya kuchukua hatamu. Huku ikiwa imesalia chini ya miaka mitatu kwa uchaguzi mkuu ujao kuandaliwa, wasiwasi umeibuka kuhusu iwapo tume hiyo itakuwa na muda wa kutosha wa kutekeleza mageuzi muhimu. Waangalizi pia wanahimiza jopo la uteuzi wa makamishna wa IEBC kuhakikisha kwamba makamishna wapya wanadhihirisha uadilifu, ujumuishaji na umahiri. Ben Chumba na taarifa hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News